Mwenyezi Mungu anasema, Kati ya binadamu, wakati mmoja Nilifanya muhtasari wa ukaidi na udhaifu wa mwanadamu, na hivyo Nilielewa udhaifu wa binadamu na Nikafahamu vema ukaidi wake. Kabla ya kuwasili kati ya binadamu, Nilikuwa nimekuja kuelewa kitambo furaha na huzuni kati ya binadamu—na kwa sababu ya hili, Ninaweza kufanya kile ambacho binadamu hawezi, na kusema kile ambacho binadamu hawezi, na Mimi hufanya hivyo kwa urahisi sana. Je, hii siyo tofauti kati ya Mimi na binadamu? Na hii siyo tofauti dhahiri? Yaweza kuwa kwamba kazi Yangu hutimizwa na watu wa mwili na damu? Inawezekana kwamba Mimi ni wa aina moja na viumbe vilivyoumbwa? Watu wameniweka ... Read more »

Views: 84 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 06.08.2019 | Comments (0)