Nimeanza kutenda kazi Yangu kati ya wanadamu, kuwakubalia kuishi mkondo mmoja Nami. Nitakamilisha kazi Yangu nikiwa kati yao, maana wao ni vyombo Ninavyosimamia katika mpango Wangu wote wa usimamizi—na ni mapenzi Langu ili waweze kuwa watawala wa vitu vyote. Hivyo basi Naendelea kutembea kati ya wanadamu. Kadri wanadamu pamoja Nami tuingiavyo katika enzi ya sasa, Najihisi huru kabisa, kwa sababu, hatua Yangu ni ya haraka. Wanadamu hawa wanawezaje kudumisha mwendo huu? Nimefanya kazi nyingi kwa watu wasiojali na walio butu, lakini hawajafaidi chochote kwa kuwa hawanijali wala kunipenda Mimi. Nimeishi kati ya watu wote na kuwatazama waendapo juu na chini ya ardhi. Wale wote wanaoainishwa kama “wanadamu” wananipinga Mimi, kana kwamba “kunipinga Mimi” kulikuwa katika maelezo ya kazi yao. Inaonekana kw ... Read more »

Views: 57 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 06.15.2019 | Comments (0)