Mwenyezi Mungu anasema, Wakati mmoja Nilimwalika mwanadamu kama mgeni nyumbani Kwangu, lakini alikimbia huku na huko kwa sababu ya miito Yangu–kama kwamba, badala ya kumwalika kama mgeni, Nilikuwa nimemleta kwenye eneo la kuuawa. Kwa hiyo, nyumba yangu inaachwa tupu, kwa maana mwanadamu ameepukana Nami daima, na daima amejilinda dhidi Yangu. Hili limeniacha bila njia yoyote ya kutekeleza sehemu ya kazi Yangu, ambalo ni kusema, ni kama kwamba Nimeirudisha karamu Niliyomtayarishia, kwa maana mwanadamu hayuko radhi kuifurahia karamu hii, na kwa hiyo Sitamlazimisha kufanya hivyo. Lakini mwanadamu ghafula hujikuta akizongwa na njaa, kwa hiyo anakuja kubisha mlangoni Mwangu akiomba msaada Wangu—na Nikimwona amepata mashaka kama hayo, Ningewezaje kukosa kumsaidia? Hivyo, kwa mara nyingine Namwandalia mwanadamu karamu, ili aweze kuifurahia, na wakati huo tu ndio anahisi jinsi Ni ... Read more »

Views: 70 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 06.12.2019 | Comments (0)

Mwenyezi Mungu anasema, Katika nyumba Yangu, kulikuwapo wakati mmoja wale waliolisifu jina Langu takatifu, ambao walifanya kazi bila kuchoka ili utukufu Wangu duniani ungejaza anga. Kwa sababu ya hili, Nilifurahi sana, moyo Wangu ulijawa na furaha—lakini nani angeweza kufanya kazi badala Yangu, akiacha usingizi usiku na mchana? Azimio la mwanadamu mbele Yangu hunipa raha, lakini uasi wake huchochea hasira Yangu, na hivyo, kwa sababu mwanadamu hawezi kamwe kuzingatia wajibu wake, huzuni Yangu kwa ajili yake inakua kubwa zaidi. Kwa nini watu daima hawawezi kujitolea Kwangu? Kwa nini daima wao hujaribu kubishana na Mimi? Mimi ni msimamizi mkuu wa kituo cha biashara? Kwa nini Mimi hutimiza kwa moyo kamili kile ambacho watu hudai kutoka Kwangu, lakini Nitakacho kutoka kwa mwanadam ... Read more »

Views: 70 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 06.12.2019 | Comments (0)