Mwenyezi Mungu anasema, Sijawahi kuwa na nafasi ndani ya mioyo ya watu. Ninapowatafuta watu kweli, wao hufunga na kubana macho yao na kupuuza matendo Yangu, kana kwamba yote Nifanyayo ni jaribio la kuwafurahisha, kutokana na hilo wao daima huchukizwa na matendo Yangu. Ni kana kwamba Nakosa kujitambua kokote: Mimi kila mara hujiringa mbele ya mwanadamu, kusababisha kughadhibishwa ndani ya mwanadamu, ambaye ni "mwadilifu na mwenye haki." Lakini chini ya hali mbaya kama hizo, Mimi huvumilia, na kuendeleza kazi Yangu. Hivyo, Nasema kwamba Nimeonja ladha tamu, chachu, chungu, na kali za uzoefu wa binadamu, kwamba katikati ya upepo na mvua, Nimepitia mateso ya familia, Nimepitia milima na mabonde ya maisha, na Nimepitia uchungu wa kuondoka kwa mwili. H ... Read more »

Views: 83 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 06.10.2019 | Comments (0)