Mwenyezi Mungu anasema, Kotekote katika enzi, kazi yote Niliyoifanya—kila hatua ya kazi hiyo—imekuwa na mbinu Zangu zinazofaa za kazi. Ni kwa sababu ya hili ndio watu Wangu wapendwa wamekuwa watakatifu zaidi na zaidi, na wa kufaa zaidi na zaidi kwa matumizi Yangu. Kwa sababu hiyo hiyo, hata hivyo, jambo la kusikitisha ni kwamba kadri mbinu Zangu za kazi zinavyoongezeka, idadi ya watu inapungua, ambalo husababisha watu kuzama katika kutafakari. Bila shaka, Kazi Yangu leo sio tofauti na watu wengi wamejikuta tena katika kutafakari, kwa hiyo kwa sababu ya mabadiliko ya mbinu Zangu, kuna sehemu ya watu ambao watajiondoa. Inaweza kuelezwa kwa njia hii: Hili lilikuwa limeamuliwa na Mimi kabla, lakini halikufanywa na Mimi. Kutoka wakati wa uumbaji hadi sasa, watu wengi sana wa ... Read more »

Views: 128 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 06.17.2019 | Comments (0)

Kila kitu kinapangwa kwa mkono Wangu. Nani anathubutu kufanya anavyopenda? Nani anayeweza kukibadilisha kwa urahisi? Watu huelea hewani, wakienda mbele kama vumbi linavyokwenda, nyuso zao zikiwa zimejaa uchafu, kuwafanya wasivutie kutoka utosini hadi wayoni. Mimi huangalia kutoka miongoni mwa mawingu kwa moyo mzito: Kwa nini mwanadamu, ambaye wakati mmoja alijaa uhai, alibadilika na kuwa sura hii? Na kwa nini hajui jambo hili, na kutohisi jambo hili? Kwa nini "anajiachilia" na kujiruhusu kufunikwa kwa uchafu? Huo ndio ukosefu wa kujipenda na kujiheshimu. Kwa nini mwanadamu daima huepuka Ninachouliza? Je, Mimi ni mkatili na mnyama kwake kweli? Je, Mimi kweli ni dhalimu na Asiye na huruma? Hivyo kwa nini watu daima hunitazama kwa macho makali? Kwa nini daima wao hunichukia? Je, Nimewaleta mpaka ukingoni? Mwanadamu hajawahi kugundua chochote katika kuadibu Kwangu, kwani hafanyi chochote ila kushika nira inayolizunguka shingo lake kwa mikono miwil ... Read more »

Views: 116 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 06.17.2019 | Comments (0)