Labda ni kwa sababu tu ya amri Zangu za utawala ndio watu "wamevutiwa" sana na maneno Yangu. Wasingaliongozwa na amri Zangu za utawala, wote wangalikuwa wakilia kama chui wakubwa wenye milia ambao wamesumbuliwa sasa hivi. Kila siku Mimi Huzurura juu ya mawingu, Nikiwaangalia binadamu wanaoifunika dunia wakiwa katika kukurukakara zao, wakizuiliwa na Mimi kwa njia ya amri Zangu za utawala. Hii ndiyo njia pekee ya kuweka jamii ya binadamu kwa hali ya utaratibu, na hivyo Nimedumisha amri Zangu za utawala. Kuanzia wakati huu na kuendelea, wale walio duniani wanapokea kila aina za kuadibu kwa sababu ya amri Zangu za utawala, na kuadibu huku kunapowashukia wanadamu wote husababisha ghasia kubwa na kukimbia kila upande. Wakati huu, mataifa ya dunia yanaangamia mara moja, mipaka kati ya taifa na taifa inaacha kuwepo, mahali hapagawanyiki tena, na hakuna kitu cha kumtenganisha mwanadamu kutoka kwa mwanadamu. Naanza kufanya "kazi ya kiitikadi" ... Read more »

Views: 73 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 06.24.2019 | Comments (0)

Mwenyezi Mungu anasema, Punde tu kazi mpya inapoanza, watu wote wanakuwa na kuingia kupya, na wanasonga mbele nami bega kwa bega, tunatembea pamoja kwenye barabara kubwa ya ufalme, na kuna urafiki mkubwa kati ya mwanadamu na Mimi. Ili kuonyesha hisia Zangu, ili kudhihirisha mtazamo Wangu kwa mwanadamu, Nimemzungumzia mwanadamu kila mara. Sehemu ya maneno haya, hata hivyo, yanaweza kuwaumiza watu, huku mengine yanaweza kuwa ya msaada mkubwa kwao, na kwa hiyo Nawashauri watu kusikiliza kwa makini sana kile kinachotoka kinywani Mwangu. Matamko Yangu huenda yasiwe sanifu na yenye ustarabu, lakini yote ni maneno kutoka kina cha moyo Wangu. Kwa kuwa mwanadamu a ... Read more »

Views: 72 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 06.24.2019 | Comments (0)