Mwenyezi Mungu anasema, Kotekote katika uzoefu wa wanadamu umbo Langu halijakuwepo, wala kuwepo kwa uongozi wa maneno Yangu, na kwa hiyo Nimemuepuka mwanadamu kwa umbali kila mara na kisha Nikaondoka kwake. Nadharau uasi wa wanadamu. Sijui kwa nini. Inaonekana Nimemchukia mwanadamu tangu mwanzo, na bado Nahisi huruma kubwa kwake. Na kwa hiyo mwanadamu ananiangalia na mioyo miwili, kwani Nampenda mwanadamu, na pia Namchukia mwanadamu. Ni nani kati yao huonyesha ufahamu halisi wa upendo Wangu? Na ni nani anaweza kuelewa chuki Yangu? Machoni Pangu, mwanadamu ni kitu kilichokufa, bila uhai, kama kwamba ni sanamu za udongo zinazosimama miongoni mwa vitu vyote. Wakati mwingine, kutotii kwa wanadamu huipa msukumo hasira Yangu kwao. Nilipoishi miongoni ... Read more »

Views: 64 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 06.18.2019 | Comments (0)