Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima-Sura ya 44

Watu huichukulia kazi Yangu kama kijalizo, hawaachilii chakula au usingizi kwa ajili yake, na kwa hiyo Sina budi ila kufanya madai yafaayo kwa mwanadamu kama inavyostahili mtazamo wake Kwangu. Nakumbuka kuwa wakati mmoja Nilimpa mwanadamu neema nyingi sana na baraka nyingi, lakini baada ya kunyakua vitu hivi aliondoka mara moja. Ilikuwa ni kama kwamba Nilikuwa Nampa bila kufahamu. Na kwa hiyo, mwanadamu amenipenda Mimi daima kati ya dhana zake mwenyewe. Nataka mwanadamu anipende kweli, lakini leo, watu bado wanasitasita, wasiweze kunipa upendo wao wa kweli. Katika mawazo yao, wao huamini kwamba iwapo watanipa upendo wao wa kweli, wataachwa bila chochote. Ninapopinga, miili yao yote ... Read more »

Views: 71 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 06.25.2019 | Comments (0)