70. Mabadiliko ya Mtu Aliyeanguka

Tong Xin Mkoa wa Fujian

Nilizaliwa vijijini. Nilitoka kwa nasaba ya wakulima wanyenyekevu na zaidi ya hayo familia yetu ilikuwa na watu wachache, kwa hiyo mara nyingi tulikuwa tunadhulumiwa. Nilipokuwa na umri wa miaka 13, kulikuwa na mtoto aliyepigwa na mtu fulani kutoka nje ya kijiji chetu. Wanakijiji walimlaumu kwa uongo baba yangu kwa kuchochea hilo na wakasema walitaka kupekua nyumba yetu na kuchukua ngawira mali yetu, kuchukua nguruwe wetu na hata kumpiga baba yangu. Kulikuwa na wakati pia ambapo mwanakijiji mwingine alichukua wavu wetu wa uvuvi na kuuweka kama wake mwenyewe. Wakati baba yangu alipokwenda kuurudisha, mwanakijiji huyo kwa kweli alimgonga baba yangu, akitegemea nguvu na ushawishi wake mwenyewe ... Read more »

Views: 55 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 07.14.2019 | Comments (0)