Mchakato wa Mbadiliko wa Muumini Mwenye Kiburi

Zhang Yitao, Mkoa wa Henan

“Mungu, kazi Yako ni ya vitendo sana, imejaa haki na utakatifu sana. Umekuwa ukifanya kazi kwa muda mrefu kwa subira, yote kwa ajili yetu. Katika siku za nyuma, nilimwamini Mungu lakini sikuwa na mwenendo wa binadamu. Nilikuasi na kuumiza moyo Wako bila kujua. Nimejaa aibu na majuto na ninapaswa kukushukuru Wewe. Ni sasa tu ninapotambua hili. ... Bila Hukumu Yako kali, singekuwa na leo, na nikikabiliwa na upendo Wako wa kweli nina shukrani na kuwiwa na Wewe. Ilikuwa ni kazi Yako ambayo iliniokoa na kusababisha tabia yangu kubadilika. Bila huzuni na uchungu, moyo wangu umejaa furaha” (“Ewe Mungu, Upendo Ambao Umenipa Ni Mkubwa ... Read more »

Views: 53 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 07.15.2019 | Comments (0)