Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Amri za Enzi Mpya

Mmeambiwa kuwa mjiandae kwa maneno ya Mungu, ya kuwa pasipo kujali mlichoandaliwa ninyi, yote yamepangwa kwa mkono wa Mungu, na kwamba hakuna haja ya kuomba kwa bidii au kusali kwenu—hayana maana. Ilhali kulingana na hali ya sasa, shida za kiutendaji mnazokumbana nazo hazifikiriki kwenu. Kama mnasubiri mipango ya Mungu tu, basi kuendelea kwenu kutakuwa polepole sana, na kwa wale wasiojua jinsi ya kupitia kutakuwa na kulaza damu kwingi. Kwa hivyo, ikiwa umeshindwa kabisa kuyalewa mambo haya, basi umechanganyikiwa na kuwa mpumbavu katika uzoefu w ... Read more »

Views: 62 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 07.09.2019 | Comments (0)