18. Hakuna Utendewaji Maalum katika Kanisa

Liu Xin     Mji wa Liaocheng, Mkoa wa Shandong

Baada ya kumfuata Mungu kwa miaka hii, nilihisi kuwa nilikuwa nimevumilia mateso na kulipa gharama fulani, kwa hiyo nilianza kuyategemea mapato yangu ya zamani na kuringia ukubwa wangu. Niliwaza: Nimeondoka nyumbani kwa miaka mingi na familia yangu haijaisikia kutoka kwangu kwa muda mrefu. Katika hali hii, kanisa hakika litanitunza. Hata nisipofanya kazi yangu vizuri hawatanituma nyumbani. Si zaidi ya hayo wataniondoa tu na kunielekeza kufanya kazi nyingine. Kutokana na kufi ... Read more »

Views: 66 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 07.31.2019 | Comments (0)