Xiaowen, Jijini Chongqing

Upendo ni hisia safi, safi bila ya dosari. Tumia moyo wako, tumia moyo wako kupenda na kuhisi na kutunza. Upendo hauweki masharti au vikwazo au umbali. Tumia moyo wako, tumia moyo wako kupenda na kuhisi na kutunza. Ukipenda hudanganyi, kunung’unika, kutelekeza, kutarajia kupata malipo” (“Upendo safi bila Dosari” katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya). Wimbo huu wa neno la Mungu siku moja ulinisaidia kupitia maumivu ya maisha ya muda mrefu yaliorefuka bure gerezani ambao ulidumu miaka 7 na miezi 4. Ingawa serikali ya CCP ilininyang’anya miaka mizuri zaidi ya ujana wangu, nimepata ukweli halisi ... Read more »

Views: 69 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 07.26.2019 | Comments (0)