Wang Jun Mkoa wa Shandong

Kwa miaka mingi tangu kukubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho, mke wangu na mimi tumepitia hili pamoja chini ya ukandamizaji wa joka kubwa jekundu. Katika wakati huu, ingawa nimekuwa na udhaifu, maumivu, na machozi, nahisi kwamba nimenufaika pakubwa kutoka kwa uzoefu wa ukandamizaji huu. Uzoefu huu mchungu haujanifanya tu kuona kwa dhahiri asili mbovu ya kupinga maendeleo, na sura mbaya ya joka kubwa jekundu, lakini pia nimetambua asili yangu mwenyewe ya upotovu. Pia umeniruhusu kupata uzoefu wa Uweza wa Mungu na hekima. Kwa kweli nimepitia na kutambua umuhimu halisi wa Mungu kutumia joka kubwa jekundu kama foili[a], ambao kwao imani yangu kat ... Read more »

Views: 66 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 07.19.2019 | Comments (0)