Rongguang Mji wa Harbin, Mkoa wa Heilongjiang

Mnamo mwaka wa 1991, kwa neema ya Mungu, nilianza kumfuata Mwenyezi Mungu kwa sababu ya ugonjwa. Wakati huo sikujua kitu chochote kuhusu kumwamini Mungu, lakini jambo la kushangaza ni kwamba, wakati wa kula na kunywa maneno yaliyoonyeshwa na Mwenyezi Mungu, nilifurahia. Nilihisi kwamba maneno Yake yalikuwa mazuri sana, na nilipoimba au kuomba mara nyingi niliguswa na Roho Mtakatifu hadi kiwango cha kulia. Uzuri huo ndani ya moyo wangu, furaha hiyo ilikuwa ni kama kwamba tukio la furaha lilikuwa limenijia. Hasa katika mikusanyiko wakati wa kazi kubwa ya Roho Mtakatifu, nilihisi kama nilikuwa nimevuka mipaka ya mwili na nilikuwa nikiishi katika m ... Read more »

Views: 67 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 07.18.2019 | Comments (0)