77. Kuuonja Upendo wa Mungu Katikati ya Dhiki

Chen Lu Mkoa wa Zhejiang

Nilizaliwa miaka ya 1980 katika kijiji—tulikuwa tumekuwa familia ya wakulima kwa vizazi vingi. Nilijiingiza katika masomo yangu ili niweze kuhitimu kuingia katika chuo na kuepuka maisha ya kijijini ya umasikini na hali ya kuwa nyuma. Nilipoanza shule ya upili, nilikutana na Historia ya Sanaa ya Magharibi, na wakati nilipoona picha nyingi za kupendeza kama vile “Mwanzo,” “Bustani ya Edeni,” na “Mlo wa Mwisho,” ni hapo tu nilipojua kwamba kulikuwa na Mungu katika ulimwengu aliyeumba vitu vyote. Sikuweza kujizuia kuwa na moyo uliojaa hamu ya Mungu. Baada ya kuhitimu kutoka chuo, nilipata kazi nzuri kwa urahis ... Read more »

Views: 74 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 07.21.2019 | Comments (0)