Ubinadamu wenu ni wenye upungufu mno, hali yenu ya maisha ni ya chini na kushusha hadhi mno, hamna ubinadamu, na hamna utambuzi. Hiyo ndiyo maana mnahitaji kujiandaa na mambo ya ubinadamu. Kuwa na dhamiri , urazini, na utambuzi, kujua jinsi ya kuzungumza na kutazama vitu, kuwa makini kwa usafi, kutenda kama binadamu wa kawaida—vyote hivi ni ufundi ustadi wa ubinadamu wa kawaida. Mnapofanya hivi vizuri, ubinadamu wenu ni wa kiwango kinachohitajika. Kipengele kingine ni kujihami kwa ajili ya maisha yenu ya kiroho. Lazima mjue kazi yote ya Mungu duniani na muwe na uzoefu wa maneno Yake. Unapaswa kujua jinsi ya kutii mipangilio Yake, na jinsi ya kutimiza majukumu ya kiumbe aliyeumbwa. Hivi ndivyo vipengele viwili unavyopaswa kuingia ndani yake leo. Kipengele kimoja ni kujiandaa kwa ajili ya maisha ya ubinadamu, na kipengele kingine ni ku ... Read more »

Views: 74 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 12.03.2019 | Comments (0)