Hakuna mtu anayeweza kuishi kwa kujitegemea isipokuwa wale ambao wanapewa uelekeo maalumu na mwongozo na Roho Mtakatifu, kwani wanahitaji huduma na uchungaji wa wale wanaotumiwa na Mungu. Hivyo, katika kila enzi Mungu huwainua watu tofauti ambao hujishughulisha na kuchunga makanisa kwa ajili ya kazi Yake. Ambalo ni kusema, kazi ya Mungu lazima ifanywe kupitia wale ambao Huwaonyesha fadhili na kuwakubali; Roho Mtakatifu lazima atumie sehemu ndani yao inayostahili kutumiwa ili kufanya kazi, na wao hufanywa wa kufaa kutumiwa na Mungu kupitia kukamilishwa na Roho Mtakatifu. Kwa sababu uwezo wa mwanadamu wa kuelewa unapungukiwa sana, lazima afanyiwe uchungaji na wale wanaotumiwa na Mungu; ilikuwa vivyo hivyo na Mungu kumtumia Musa, ambaye kw ... Read more »

Views: 42 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 12.20.2019 | Comments (0)