Leo, watu wengi hawana hata urazini au kujitambua kwa Paulo, ambaye, ingawa aliangushwa na Bwana Yesu, tayari alikuwa na azimio la kufanya kazi na kuteseka kwa ajili Yake. Yesu alimpa ugonjwa, na baadaye, Paulo aliendelea kuvumilia ugonjwa huu mara alipoanza kufanya kazi. Kwa nini alisema alikuwa na mwiba mwilini mwake? Mwiba, kwa kweli, ulikuwa ugonjwa, na kwa Paulo, ulikuwa ugonjwa wa kufisha. Haijalishi alivyofanya kazi vizuri au jinsi azimio lake kuteseka lilivyokuwa kuu, alikuwa na ugonjwa huu kila mara. Paulo alikuwa mwenye uhodari thabiti zaidi kuliko ninyi watu wa leo; hakuwa tu mwenye uhodari mzuri, lakini pia alikuwa na kujitambua na alikuwa na urazini zaidi kuwaliko ninyi. Leo, usijali kutimiza urazini wa Petro—watu wengi hawawezi hata kutimiza urazi ... Read more »

Views: 47 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 12.06.2019 | Comments (0)