Unaelewa vipi umaalum katika roho? Roho Mtakatifu hufanya vipi kazi ndani ya mwanadamu? Shetani hufanya vipi kazi ndani ya mwanadamu? Roho waovu hufanya vipi kazi ndani ya mwanadamu? Na maonyesho ya kazi hii ni yapi? Wakati kitu kinakufanyikia, je, kinakuja kutoka kwa Roho Mtakatifu, na je, unapaswa kukiheshimu, au kukikataa? Utendaji halisi wa watu huibua mengi ambayo ni ya mapenzi ya kibinadamu ilhali ambayo watu daima huamini kutoka kwa Roho Mtakatifu. Mengine hutoka kwa roho waovu, ilhali watu bado hudhani yanatoka kwa Roho Mtakatifu, na wakati mwingine Roho Mtakatifu huwaongoza watu kutoka ndani, ilhali watu wanaogopa kwamba mwongozo kama huo hutoka kwa Shetani, na hawathubutu kutii, wakati kwa kweli ni nuru ya Roho Mtakatifu. Hivy ... Read more »

Views: 32 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 12.19.2019 | Comments (0)