Wakati ambapo Mungu huitekeleza kazi Yake, Yeye haji kujishughulisha katika ujenzi wowote au mabadiliko; Yeye huja kutimiza huduma Yake. Kila wakati Anapopata mwili, ni kwa ajili tu ya kufanikisha hatua ya kazi na kuifungua enzi mpya. Sasa Enzi ya Ufalme imefika, na mafundisho ya ufalme. Hatua hii ya kazi si kazi ya mwanadamu, si ya kumfanyia kazi mwanadamu kwa kiwango fulani; ni kuimaliza sehemu ya kazi ya Mungu tu. Kazi Yake si kazi ya mwanadamu, si kufikia matokeo fulani katika kumfanyia kazi mwanadamu kabla ya kuondoka duniani; ni kutimiza huduma Yake kwa ukamilifu na kuimaliza kazi ambayo Anapaswa kuifanya, ambayo ni kutengeneza mipango ya kufaa ya kazi Yake duniani, na hivyo kupata kutukuka. Kazi ya Mungu mwenye mwili ni tofauti na ile ya wale wanaotumiwa na ... Read more »

Views: 53 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 12.16.2019 | Comments (0)