Watu wanishangilia Mimi, watu wananisifu Mimi; midomo yote inataja Mungu mmoja wa kweli, watu wote wainua macho yao kutazama matendo Yangu. Ufalme washuka duniani, nafsi Yangu ni tajiri na yenye wingi. Ni nani hangesherehekea haya? Nani hangecheza kwa furaha kwa ajili ya haya? Ee, Sayuni! Inua bango lako la ushindi ili kunisherehekea Mimi! Imba wimbo wako wa ushindi na ueneze jina Langu takatifu! Vitu vyote duniani! Sasa mjitakase kwa kujitolea Kwangu. Nyota angani! Sasa rudini sehemu zenu na muonyeshe ukuu Wangu mbinguni! Nashughulikia sauti za watu duniani, wakimimina upendo usio na kikomo na uchaji wao Kwangu kwa wimbo! Katika siku hii, wakati vitu vyote vinafanywa upya, Naja kutembea duniani. Katika wakati huu, maua yanachanua, ndege wanaimba, vitu vyote vimejaa furaha! Katika sauti ya saluti ya ufalme, ufalme wa Shetani unaporomoka, ukih ... Read more »

Views: 137 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.05.2019 | Comments (0)

Katika nuru Yangu, watu wanaona nuru tena. Katika neno Langu, watu wanapata vitu vya raha. Nimekuja kutoka Mashariki nami Natoka huko. Wakati ambapo utukufu Wangu unang'aa, mataifa yote yanaangaziwa, vitu vyote vinaletwa katika nuru, hakuna kitu kinachobaki katika giza. Katika ufalme, maisha ya watu wa Mungu pamoja na Mungu ni ya furaha isiyolinganishwa. Maji yanacheza kwa ajili ya maisha ya watu yaliyobarikiwa, milima inafurahia utele Wangu pamoja na watu. Wanadamu wote wanajitahidi, wakifanya kazi kwa bidii, wakionyesha uaminifu wao katika ufalme Wangu. Katika ufalme, hakuna uasi tena, hakuna upinzani tena; mbingu na dunia vinategemeana, Mimi na mwanadamu tuko karibu nasi tunahisi kwa kina, kupitia furaha kuu za maisha, tukiegemeana.... Wakati huu, Naanza rasmi maisha ya mbinguni. Kuingilia kwa Shetani hakuko tena, na watu wanaingia kat ... Read more »

Views: 140 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.05.2019 | Comments (0)