Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima | Sura ya 7

Matawi yote ya magharibi yanapaswa kuisikiliza sauti Yangu:

Je, mmekuwa waaminifu Kwangu hapo awali? Je, mmeyatii maneno Yangu mazuri ya ushauri? Je, mna matumaini ambayo ni halisi na yasiyo na mashaka? Utiifu wa mwanadamu, upendo wake, imani yake—hamna kipatikanacho ila kutoka Kwangu, hamna hata kimoja ila kilichotolewa na Mimi. Enyi watu Wangu, myasikiapo maneno Yangu, je, mnaielewa nia Yangu? Mnaiona roho Yangu? Hapo zamani, mlipoipitia njia ya huduma hapo awali mlikumbana na panda shuka, maendeleo mazuri na vikwazo, na zilikuwepo nyakati mlipokuwa katika hatari ya kuanguka na hata kunisaliti Mimi; lakini mlifahamu kuwa Nilikuwa katika harakati za kuwakomboa kila wakati? Kwamba kila wakati Nil ... Read more »

Views: 59 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.13.2019 | Comments (0)