Mwenyezi Mungu anasema, Wakati umeme unatoka Mashariki—ambapo pia ni wakati hasa Naanza kunena—wakati umeme unakuja, mbingu yote inaangazwa, na nyota zote zinaanza kubadilika. Inaonekana kana kwamba jamii nzima ya binadamu imesafishwa na kupangwa vizuri. Chini ya mng’aro wa mwale huu wa mwangaza kutoka Mashariki, wanadamu wote wanafichuliwa katika maumbo yao ya asili, macho yaking’aa, yakizuiwa kwa kuchanganyikiwa; na hawawezi hata kidogo kuficha sifa zao mbaya. Tena, ni kama wanyama wakitoroka kutoka kwa mwangaza Wangu wakikimbilia usalama katika mapango ya milimani; ilhali, hakuna hata mmoja kati yao anayeweza kufutiliwa mbali kutoka katika mwan ... Read more »

Views: 158 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.18.2019 | Comments (0)