6:48 PM
Wimbo Mpya wa Dini 2019 | “Zingatia Majaliwa ya Binadamu” | Wokovu wa Mungu  (Lyrics Video)

Wimbo Mpya wa Dini 2019 | “Zingatia Majaliwa ya Binadamu” | Wokovu wa Mungu  (Lyrics Video)

Mungu awahimiza makabila yote, mataifa na nyanja zote:
Sikizeni sauti Yake, muione kazi Yake; 
mzingatie hatima ya wanadamu;
mfanye Mungu Mtakatifu na Mheshimiwa,
Mkuu na wa pekee wakuabudiwa,
ulimwengu wote, na wanadamu, waishi chini ya baraka Yake Mungu,
kama vizazi vya Ibrahimu, walivyoishi na ahadi ya Yehova,
kama viumbe vya Mungu, Adamu na Hawa, walivyoishi bustani Edeni.
Kazi ya Mungu ni kama mawimbi yavumayo
hakuna wa kumzuia au kumsimamisha.
Ni tu kwa kusikiza neno Lake na kumuandama, 
ndio nyayo Zake zinaweza kufuatwa na ahadi pokewa.
Wengine wote watapata angamizwa, na kupokea adhabu wanayostahili.
Mungu awahimiza makabila yote mataifa na nyanja zote:
Sikizeni sauti Yake, muione kazi Yake; 
mzingatie hatima ya wanadamu.
Zingatia hatima ya wanadamu wote u-u-u-u-uh!

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Nyimbo za Injili za Kanisa la Mwenyezi Mungu: nyimbo za kusifu, kumjua Mungu na uzoefu wa maisha, na mengine. Sikiliza mtandaoni! Pakua bure!

Views: 51 | Added by: flickrpinquorettfb | Tags: Wimbo wa dini, Wokovu wa Mung, baraka za Mungu | Rating: 0.0/0
Total comments: 0
avatar