Kutoka nje, inaonekana kwamba hatua za kazi ya Mungu katika kipindi hiki tayari zimemalizwa, na kwamba wanadamu tayari wamepitia hukumu, kuadibu, kuangamizwa, na usafishaji wa maneno Yake, na kwamba wamepitia hatua kama vile jaribio la watendaji huduma, kusafisha kwa nyakati za kuadibu, jaribio la kifo, jaribio la foili[b], na nyakati za[a] kumpenda Mungu. Ingawa watu wamepitia mateso makubwa katika kila hatua bado hawajaelewa mapenzi ya Mungu. Kama tu jaribio la watendaji huduma, kile ambacho watu walipata kutoka ... Read more »

Views: 73 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 08.03.2019 | Comments (0)