36. Sitapumbazwa Tena na "Nia Njema"

Meng Yu    Mji wa Pingdingshan, Mkoa wa Henan

Wakati mmoja nilipokuwa nikitimiza wajibu wangu, niliona kuwa ndugu fulani alikuwa akijaribu kuwafurahisha dada zake, maonyesho ya hali mbovu ya tabia yake machoni mwangu. Niliamua kutafuta fursa ya kumkumbusha haya mambo. Siku zilipita na nikaona utendaji wake wa wajibu ulikuwa wenye matokeo machache mazuri—ushahidi wa maoni yangu ya awali kumhusu. Kwa hiyo niliamua kuzungumza naye uso kwa uso. Hata hivyo, tulipogusia suala hili, alikataa kwa ukali maoni yangu yote na akajibu kwa ukali kwamba nilikuwa mwenye kukosoa sana. "Kwa miaka hii yote," alisema, "wakati wowote unapo ... Read more »

Views: 61 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 08.04.2019 | Comments (0)