"Kwaya ya Kichina Onyesho la 13" Clip 6 Ufanyaji Upya wa Vitu Vyote | Kwaya za Injili

Mwenyezi Mungu anasema, “Ah, ya kwamba binadamu wote Niliouumba hatimaye umerudiwa na uhai tena katika mwanga, kupata msingi wa kuwepo, na kuacha kupambana katika tope! Ah, Mambo mengi ya uumbaji Ninayoyashikilia mikononi Mwangu! Wanawezaje, kukosa kufanywa upya, kupitia maneno Yangu? Wanawezaje, katika mwanga, kukosa kuendeleza kazi zao? Dunia si kimya na nyamavu tena, mbingu si ya ukiwa na yenye huzuni tena. Mbingu na nchi, bila kutenganishwa na u ... Read more »

Views: 58 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 08.14.2019 | Comments (0)