Wimbo wa dini | "Ni Wakati Tu Ambapo Mungu Anakuwa Mwili Ndipo Mwanadamu Anaweza Kuwa Mwandani Wake"

Ni Wakati tu Mungu anapojinyenyekeza kwa kiwango fulani,
kumaanisha Anakuwa mwili ili kuishi kati ya wanadamu,
ndipo wataweza kuwa wasiri Wake,
ndipo watakuwa marafiki Zake wa karibu.
Mwanadamu anawezaje kupata sifa ya kuwa mwandani wa Mungu
Wakati Mungu ni wa Roho, metukuka na mgumu kumwelewa?
Ni kwa kuwa tu mwili ulioumbwa sawa na mwanadamu
mwanadamu ataweza mapenzi Yake, na kupatwa na Yeye ... Read more »

Views: 60 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 08.29.2019 | Comments (0)