Baituo     Mji wa Dezhou, Mkoa wa Shandong

Kabla, nilijua tu kwamba hekima ya Mungu ilitumiwa kwa msingi wa njama za Shetani, kwamba Mungu ni Mungu mwenye hekima na kwamba Shetani milele atakuwa adui mshinde wa Mungu katika nadharia, lakini sikuwa na ufahamu au maarifa ya jambo hili kutegemeza uzoefu halisi. Baadaye, ni ndani tu ya mazingira yaliyopangwa na Mungu nilipopata uzoefu halisi wa kipengele hiki cha kweli.

Nilikuwa kwa mkutano fulani alasiri moja, wakati ghafla mwenzi wa kiongozi wa wilaya alikimbia kwangu kwa haraka na kusema, "Mama yako amechukuliwa na joka kubwa jekundu. Usiende nyumbani kwa muda. ... Read more »

Views: 43 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 08.01.2019 | Comments (0)