Wimbo wa Dini “Watu Waaminifu Tu Ndio Wana Mfano wa Binadamu” | Asante kwa Upendo na Wokovu wa Mungu

Kwa ajili ya umaarufu na faida niliacha viwango vyote vya kutenda, na bila haya nikatumia udanganyifu kutafuta riziki yangu. Sikujali chochote kuhusu dhamiri au maadili, chochote kuhusu uadilifu au heshima. Niliishi tu kuridhisha tamaa na uroho wangu vilivyozidi kukua. Kwa moyo usio na amani, nilitembea katika matope ya dhambi, bila njia yoyote ya kuepuka giza hii isiyo na mipaka. Utajiri wa maisha na raha za muda mfupi hazingeweza ... Read more »

Views: 90 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 08.05.2019 | Comments (0)