Kemu Jiji la Zhumadian, Mkoa wa Henan

Katika mawazo yangu mwenyewe, daima nimejifikiria kuwa na ubinadamu mzuri. Nimefikiria hivi kwa sababu, majirani zangu mara nyingi walinisifu mbele ya wazazi wangu kwa kuwa mwenye busara na wa kuijali familia yetu; wakisema kuwa mimi nilikuwa kipenzi cha wazazi wangu. Baada ya kuolewa, wakwe zangu walinishukuru mbele ya majirani kwa kuwa wema na mtoto wao. Katika mahali pangu pa kazi, kiongozi wangu alinisifu kwa kuwa mwaminifu na mwenye ustadi. Na tangu nikubali kazi ya Mungu ya siku za mwisho, nimekuwa mtii kwa choc ... Read more »

Views: 133 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 06.07.2019 | Comments (0)

38. Maana Halisi ya Uasi Dhidi ya Mungu

Zhang Jun Mji wa Shenyang, Mkoa wa Liaoning

Katika siku za nyuma, niliamini kuwa “uasi dhidi ya Mungu” ilimaanisha kumsaliti Mungu, kuacha kanisa, au kuutelekeza wajibu wa mtu. Nilidhani tabia hizi hufanyiza uasi. Kwa hiyo, wakati wowote niliposikia kuhusu watu wakihusika katika tabia hizo, ningejikumbusha kwamba sipaswi kuasi dhidi ya Mungu kama walivyofanya. Aidha, nilikuwa mwangalifu katika jitihada zangu zote na nilishikilia kazi zote nilizopewa na kanisa. Sikurudi nyuma kutoka kwa wajibu wangu wakati n ... Read more »

Views: 137 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 06.06.2019 | Comments (0)

Kukubali Ukweli kwa Hakika Ni Nini

Xiaohe Mji wa Puyang, Mkoa wa Henan

Hapo awali, kila wakati niliposoma maneno yaliyofichuliwa na Mungu kuhusu jinsi watu hawakubali ukweli, sikuamini kwamba maneno hayo yangetumika kwangu. Nilifurahia kula na kunywa neno la Mungu na kuwasiliana kuhusu neno la Mungu, na niliweza kukubali na kukiri kila kitu ambacho Mungu amesema kuwa ukweli—bila kujali jinsi kilivyoumiza moyo wangu au jinsi hakikuambatana na mawazo yangu. Aidha, bila kujali kiwango cha dosari kaka na dada zangu wangeonyesha, ningekikiri na kukikubali. Sikutafuta kujitetea mwenyewe, hivyo nilidhani ... Read more »

Views: 102 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 06.04.2019 | Comments (0)

Xunqiu Mji wa Nanyang, Mkoa wa Henan

Nilikuwa nikidhani kwamba Mungu alimhukumu na kumuadibu mwanadamu wakati tu Alipoufichua upotovu wa asili wa mwanadamu au alipoeleza maneno mkali ambayo yaliuhukumu mwisho wa mwanadamu. Ilikuwa ni baadaye kabisa tu ambapo tukio moja liliponiongoza kutambua kwamba hata maneno mapole ya Mungu pia yalikuwa ni hukumu na kuadibu Kwake. Niligundua kuwa kila neno Alilolisema Mungu ni hukumu Yake kwa mwanadamu.

Hivi karibuni, dada mzee wa familia ya mwenyeji alipata kuhusika na hisia za kimwili, na kwa sababu hiyo aliteseka sana. Niliwasiliana naye kwa karibu mara kadhaa, lakini ilionekana kuwa bure. Alibaki vile vile. Pole pole nikakosa subira, nikifikiria mwenyewe, “N ... Read more »

Views: 98 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 06.03.2019 | Comments (0)

Liu Heng Mkoa wa Jiangxi

Kupitia neema ya Mungu, nilichukua jukumu la kuwa kiongozi wa kanisa. Wakati huo, nilikuwa na shauku mno na niliweka azimio mbele ya Mungu: Bila kujali kinachonikabili, sitayatelekeza majukumu yangu. Nitafanya kazi vizuri na yule dada mwingine na nitakuwa mtu anayetafuta ukweli. Lakini nilikuwa nimeamua tu, na sikujua jinsi ya kuingia katika uhalisi wa uhusiano wa kufanya kazi kwa mpangilio wa kuridhisha. Nilipoanza kwanza kupanga masuala ya kanisa na dada ambaye nilikuwa nikifanya kazi naye, na tulipokuwa na maoni tofauti, ningemwomba Mungu kwa uwazi nikimuuliza Yeye kuulinda moyo wangu na roho yangu ili nisimlaumu mshirika wangu. Hata hivyo, nilizingatia tu kudhibiti vitendo vyangu ili nisiwe na migogoro na mshirika wangu, kwa ... Read more »

Views: 127 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 06.02.2019 | Comments (0)

34. Zawadi ya Kupendeza Zaidi Ambayo Mungu Amenipa

Yixin Jiji la Shijiazhuang, Mkoa wa Hebei

Kabla, ningewasikia mara kwa mara ndugu zangu wa kiume na wa kike wakisema, “Kila kitu ambacho Mungu hufanya ni kwa ajili ya matokeo mazuri; ndiyo yote wanayohitaji watu.” Nilikubali hili na kukubaliana nalo, lakini sikuwa na ufahamu wowote kupitia uzoefu wangu mwenyewe. Baadaye nilipata ufahamu kiasi kwa njia ya mazingira ambayo Mungu aliniumbia.

Nilikuwa na hamu kubwa hasa ya hadhi katika moyo wangu. Daima nilikuwa na matumaini kwamba kiongozi angenisikiliza na kwamba ndugu zangu wa kiume na wa kike wang ... Read more »

Views: 92 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 06.01.2019 | Comments (0)

 

33. Ni Muhimu Sana Kutii Kazi ya Roho Mtakatifu

Xiaowei Mji wa Shanghai

Wakati fulani kitambo, hata kama daima nilipata msukumo kiasi na fadhila wakati dada mmoja aliyeshiriki nami alishiriki nuru aliyokuwa amepata wakati alipokula na kunywa neno la Mungu, pia kila wakati nilikuwa na hisia ya muda mrefu kuwa alikuwa anajionyesha. Ningejiuliza, “Nikimjibu sasa hivi, sitakuwa nikimtia moyo? Kwa namna hiyo, sitaonekana basi kuwa duni kuliko yeye?” Matokeo yake yakawa, nilikataa kutaja maoni yangu mwenyewe katika ushirika au kutoa ... Read more »

Views: 96 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.31.2019 | Comments (0)

Wu Xia Mji wa Linyi , Mkoa wa Shandong

Baada ya kuikubali kazi ya Mungu ya siku za mwisho na kula na kunywa neno la Mungu, ilikuwa dhahiri kwangu kwamba ni muhimu sana kwamba mimi nijifahamu. Kwa hiyo, nilipokuwa nikila na kunywa neno la Mungu, nilihakikisha nimejithibitisha tena dhidi ya neno ambalo Mungu humfichua mwanadamu. Katika hali nyingi, niliweza kutambua kasoro zangu na upungufu. Nilihisi kwamba ningekuja kujifahamu kweli. Hata hivyo, ilikuwa ni kwa njia ya ufunuo kutoka kwa Mungu tu nilipoweza kuona kwamba kwa hakika sikujifahamu kulingana na neno la Mungu.

... Read more »

Views: 122 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.30.2019 | Comments (0)

Cheng Mingjie Jiji la Xi’an, Mkoa wa Shaanxi

Mimi hujiona kuwa mtu wa aina ya kuwa wazi na mchangamfu. Mimi huzungumza na watu kwa njia ya waziwazi; chochote ninachotaka kusema, mimi husema—mimi sio aina ya mtu wa kuzungukazunguka. Katika kuingiliana kwangu na watu mimi huwa ni mwaminifu na wazi kiasi. Mara kwa mara, mimi hudanganywa na kudhihakiwa kwa sababu ya kuwaamini wengine kwa urahisi. Ilikuwa tu baada ya kuanza kwenda kanisani nilipopata mahali ambapo ningepaita pangu. Nilijiwazia mwenyewe: “Katika siku za nyuma kutokuwa na hila kwangu kumenifanya mwenye kuweza kudhuriwa na udanganyifu wa wengine; lakini katika kanisa Mungu anataka watu waa ... Read more »

Views: 91 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.29.2019 | Comments (0)

Jinru Mji wa Nanyang, Mkoa wa Henan

Wakati ndugu wa kiume au wa kike alipoonyesha dosari zangu au hakusikiza kauli yangu ama sikuhisi kushawishika au nilibishana nao. Nilijutia vitendo vyangu baadaye, lakini nilipokabiliwa na mambo haya, sikuweza kujizuia mwenyewe kuifichua tabia yangu potovu. Nilisumbuliwa na hili kwa kina, na nikafikiri: Kwa nini maneno ya wengine yanaweza kuniaibisha hadi kukasirika? Na kwa nini sijabadilika hata kidogo licha ya miaka minane ya kumfuata Mungu? Nilikuwa na wasiwasi na tena na tena nilitafuta kutoka kwa Mungu, nikimuuliza kunipa nuru ili niweze kujua chanzo cha mbona tabia yangu potovu haikuwa imebadilika

Siku moja, w ... Read more »

Views: 93 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.29.2019 | Comments (0)

« 1 2 ... 21 22 23 24 25 26 27 »