Zhuanbian Mji wa Shanghai

Ingawa nilikuwa nikimfuata Mungu kwa miaka mingi, nilikuwa karibu sijafanya maendeleo yoyote na kuingia kwangu katika maisha, na hii ilinifanya nihisi kuwa na wasiwasi sana. Hasa wakati niliposikia rekodi ya mahubiri juu ya kuingia kwa maisha, na kusikia mtu aliyetumiwa na Roho Mtakatifu akizungumza na ndugu wa kiume na wa, nilihisi nikiwa nimejawa na wasiwasi nikimsikia akisema jambo kama hili, “Nyinyi sasa mnamwamini Mungu na mmeonja uzuri wa ukimbizaji wa ukweli. Nyinyi mmeanza kuingia kwa njia sahihi na mmejaa imani katika ukimbizaji wenu wa wokovu.” Nikawaza, “Watu hawa wamemwamini Mungu kwa muda mfupi san ... Read more »

Views: 95 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.27.2019 | Comments (0)

Ushuhuda wa Maisha | Asili ya Upendo wa Mungu Ni Nini?

Siqiu   Mji wa Suihua, Mkoa wa Heilongjiang

Wakati wowote ninapoona kifungu kinachofuata cha neno la Mungu, “Ikiwa daima umekuwa mwaminifu Kwangu na kunipenda, lakini unapitia mateso ya maradhi, misukosuko ya maisha, na kutelekezwa na marafiki na jamaa au kupitia maafa mengine yoyote maishani, basi, uaminifu na mapenzi yako Kwangu yataendelea kuwepo?” (“Tatizo Zito Sana: Usaliti (2)” katika Neno Laonek ... Read more »

Views: 107 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.26.2019 | Comments (0)

Shiji Jiji la Ma’anshan, Mkoa wa Anhui

Wakati wa kufanya kazi kwangu kama kiongozi katika kanisa, kiongozi wangu mara nyingi angeshirikiana mifano ya kushindwa kwa wengine ili kutumikia kama somo kwetu. Kwa mfano: Viongozi wengine walizungumza tu kuhusu elimu na mafundisho lakini walikosa kutaja upotovu wao au kuwasiliana kwa karibu kuhusiana na ufahamu wao wa jinsi ukweli unavyotumika kwa ukweli. Kama matokeo, hawakuweza kufanya kazi ya utendaji, wakigeuka kuwa viongozi wa uwongo wa kubadilishwa. Viongozi wengine wangejionyesha, kujiinua na kujishuhudia wenyewe ili kulinda hadhi yao. Mwishowe, viongozi kama hawa waliwaongoza watu mbele yao na wakawa wapinga Kri ... Read more »

Views: 95 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.25.2019 | Comments (0)

Ushuhuda wa Maisha | Baada ya Kupoteza Hadhi Yangu …

Huimin Mji wa Jiaozuo, Mkoa wa Henan

Kila wakati nilipoona au kusikia kuhusu mtu aliyekuwa amebadilishwa kama kiongozi naye kujisikia mwenye huzuni, dhaifu au mnunaji, basi niliwaangalia kwa dharau. Nilidhani haikuwa kitu zaidi ya watu tofauti waliokuwa na majukumu tofauti ndani ya kanisa, kwamba hakukuwa na tofauti kati ya juu au chini, kwamba sote tulikuwa uumbaji wa Mungu na hakukuwa na sababu ya kuhuzunikia. Kwa hiyo kama nilikuwa nikiwatunza waumini wapya au kuongoza ... Read more »

Views: 96 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.24.2019 | Comments (0)

Ushuhuda wa Maisha | Roho ya Majivuno Kabla ya Kuanguka

Baixue Mji wa Shenyang

Kwa sababu ya mahitaji ya kazi, nilihamishiwa hadi sehemu nyingine ya kazi. Wakati huo, nilikuwa na shukurani sana kwa Mungu. Nilihisi kwamba nilikuwa ninapungukiwa sana, lakini kwa njia ya ukuzwaji mtakatifu na Mungu, nilipewa nafasi ya kutimiza wajibu wangu katika eneo la kazi la ajabu hivyo. Niliweka nadhiri kwa Mungu moyoni mwangu: Ningefanya lote ninaloweza kumlipa Mungu.

Hata hivyo, baada ya kufika, nilitambua utata mwingi katika kazi iliyokuwa ikifanyika. Matokeo yake, nilichukua jukumu mwenyewe la kuanza kukagua kila kitu ... Read more »

Views: 123 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.22.2019 | Comments (0)

Ding Xiang Jijini Tengzhou, Mkoa wa Shandong

Katika mkutano wa viongozi wa kanisa niliowahi kuhudhuria, kiongozi wa kanisa aliyekuwa amechaguliwa hivi karibuni alisema: “Sina kimo cha kutosha. Mimi ninahisi sifai kuutimiza wajibu huu. Mimi ninahisi kushinikizwa na vitu vingi sana, kwa kiwango kwamba mimi sijaweza kupata usingizi kwa siku na usiku kadhaa mtawalia….” Wakati huo, mimi nilikuwa nimebeba mizigo katika kumfuatilia Mungu, kwa hivyo niliwasiliana naye: “Kazi zote hufanywa na Mungu; mwanadamu hushirikiana kidogo tu. Ikiwa tunahisi kulemewa, kuja mbele za Mungu mara nyingi na kumtegemea Mungu bila shaka kutatufanya tuone uweza wote na hekima ya Mungu. Kuhisi mzigo kutokana na kazi zetu ni kitu kizuri. Lakini ikiwa mzigo unage ... Read more »

Views: 95 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.21.2019 | Comments (0)

Ushuhuda wa Maisha | Mbona Ujihusishe na Hila Unapomtumikia Mungu

Hu Qing Jijini Suzhou, Mkoani Anhui

Nilipoona maneno ya Mungu yakisema: “Wale ambao huhudumu kama viongozi daima hutaka kuwa na ubunifu mkubwa, kuwa wazuri kuliko wengine, kupata hila mpya ili Mungu aweze kuona jinsi kweli walivyo na uwezo. … Wao daima hutaka kuringa; si huu ni ufunuo kwa usahihi wa asili ya kiburi?” (“Bila Ukweli Ni Rahisi Kumkosea Mungu” katika Kumbukumbu za Maongezi ya Kristo), Nilifikiri mwenyewe: Nani ana ujasiri kama huo kujaribu kupata ujanja mpya ya ubunifu? Nani hajui kuwa tabia ya Mungu h ... Read more »

Views: 72 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.20.2019 | Comments (0)

Ushuhuda wa Maisha | Kuona Uhalisi Wangu Kwa Dhahiri

Xiaoxiao Jijini Xuzhou, Mkoani Jiangsu

Kwa sababu ya mahitaji ya kazi ya kanisa, nilihamishwa mpaka mahali pengine ili kutimiza wajibu wangu. Wakati huo, kazi ya injili mahali pale ilikuwa katika hali duni, na hali ya akina kaka na dada kwa kawaida haikuwa nzuri. Lakini kwa kuwa nilikuwa nimeguswa na Roho Mtakatifu, bado nilijitwisha kila kitu nilichoaminiwa nacho kwa matumaini kamili. Baada ya kukubali kuaminiwa, nilihisi uwajibi ... Read more »

Views: 88 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.19.2019 | Comments (0)

20. Maneno ya Mungu Yameniamsha

Miao Xiao Mji wa Jinan, Mkoa wa Shandong

Katika siku zilizopita, nilikuwa daima nikifikiri kuwa Mungu aliposema “ni kibaraka na msaliti anayekikimbia kiti kikuu cheupe cha enzi” Alikuwa anaashiria wale wanaoikubali kazi ya Mungu katika siku za mwisho lakini ambao baadaye wanarudi nyuma. Kwa hivyo, wakati wowote nilipoona ndugu wakijiondoa katika njia hii kwa sababu yoyote ile, moyo wangu ungejawa na dharau kwao. Huyo, kibaraka na msaliti mwingine anatoroka kutoka kwa kiti kikuu cheupe cha enzi ambaye atapokea adhabu ya Mungu. Wakati uo huo, nil ... Read more »

Views: 92 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.18.2019 | Comments (0)

Ushuhuda wa Injili | Usitafute Mbinu Mpya Unapomtumikia Mungu

Heyi Mji wa Zhuanghe, Mkoa wa Liaoning

Nilikuwa nimechaguliwa karibuni tu kuchukua jukumu la kiongozi wa kanisa. Lakini baada ya kipindi cha kazi ngumu, sio tu kuwa kazi ya kiinjili ilikuwa bila uhai kiasi, lakini ndugu zangu wa kiume na wa kike katika kikundi cha kiinjili walikuwa pia wakiishi katika hali hasi na ya udhaifu. Nikiwa nimekabiliwa na hali hii, sikuweza tena kudhibiti hisia zangu. Ni vipi tena ningeweza kuiamsha kazi ya kiinjili? Baada ya kupiga ... Read more »

Views: 82 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.17.2019 | Comments (0)

« 1 2 ... 22 23 24 25 26 27 »