Changkai Mji wa Benxi, mkoa wa Liaoning

Maneno ya kawaida “Wote huwekelea mizigo kwa farasi anayekubali” ni ambayo mimi binafsi ninayafahamu sana. Mimi na mume wangu sote tulikuwa hasa watu wasio na hatia: Wakati wa masuala yaliyohusisha faida au hasara yetu binafsi, hatukuwa aina ya watu wa kubishana na kusumbuana na wengine. Pale ambapo tuliweza kuwa wavumilivu tulikuwa wavumilivu, pale ambapo tungeweza kuwa na fadhila tulifanya tulivyoweza kuwa na fadhila. Kama matokeo yake, mara nyingi tulijipata tukiwa tumedanganywa na kudhulumiwa na wengine. Kwa hakika ilionekana kuwa katika maisha, “Wote huwekelea mizigo kwa farasi anayekubali”—iwapo una huruma nyingi sana katika moyo wako, iwapo una fadhila nyingi san ... Read more »

Views: 117 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 06.17.2019 | Comments (0)

Gan’en Mji wa Hefei, Mkoa wa Anhui

Katika maisha yangu, siku zote nimeongozwa na msemo, “Mtu hapaswi kuwa na moyo wa kuwadhuru wengine, lakini lazima awe macho ili asidhuriwe” katika uingiliano wa kijamii. Kamwe huwa siwaridhii wengine imani yangu kwa urahisi. Daima nimehisi kuwa katika hali ambapo hujui nia za kweli ya mtu, hupaswi kuonyesha nia yako punde sana. Kwa hiyo, inatosha kuweka mtazamo wa amani—kwa njia hii unajilinda na utafikiriwa na wenzako wa rika kama “mtu mzuri.”

Hata baada ya mimi kuikubali kazi ya Mungu katika siku za mwisho, nilishikilia k ... Read more »

Views: 90 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 06.16.2019 | Comments (0)

Cheng Hao Mji wa Yongzhou, Mkoa wa Hunan

Wajibu ambao mimi na mke wangu tunatimiza kanisani ni kuhubiri injili. Muda mfupi uliopita, mke wangu alipandishwa cheo kuwa mkuu wa kundi la injili, huku mimi, kutokana na kiburi changu mwenyewe na utukutu wangu, nilipoteza kazi ya Roho Mtakatifu na kupelekwa nyumbani kutafakari juu ya matendo yangu. Kutokana na kwamba mimi na mke wangu tulianza kutimiza wajibu wetu wakati mmoja, lilikuwa jambo gumu kukubali kumuona akipandishwa cheo wakati nilifukuzwa kutoka kwa wajibu wangu. Machozi yalidondoka machoni mwangu nilipofikiri: “Mungu anat ... Read more »

Views: 87 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 06.15.2019 | Comments (0)

Xiaoyan Jiji la Xinyang, Mkoa wa Henan

Nilikuwa na ubia wa kazi wa karibu na dada mmoja mzee katika masuala ya jumla. Baada ya kufanya kazi naye kwa muda fulani, nikamwona kuwa mzembe katika kazi yake na kwamba hakukubali ukweli. Kikwelikweli, nilikata kauli kumhusu. Hatua kwa hatua, uhusiano wa kawaida kati yetu ulipotea, hatukuweza kupatana vizuri, na hatukuweza kuwa mbia katika kazi. Nilihisi kuwa lilikuwa ni kosa lake hasa kwamba uhusiano wetu ulifikia kiwango hiki, na hivyo nilijaribu kufikiria njia za aina zote za kuzungumza naye ili apate kujijua. Lakini majaribu yangu yote ya kuzungumza naye yalikuwa bure au hata kuwa na athari za mkabala. Hatimaye tukaac ... Read more »

Views: 85 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 06.14.2019 | Comments (0)

Jiayi Mji wa Fuyang, Mkoa wa Anhui

Asili yangu ni ya kiburi hasa; bila kujali ninafanya nini, mimi daima hutumia werevu na ujuzi wa kubuni ili kuonyesha akili yangu na kwa hiyo mara kwa mara hukiuka mipango ya kazi ili nifanye mambo kwa njia yangu mwenyewe. Mimi ni mwenye kiburi hasa kuhusu kuchagua watu kwa cheo fulani. Ninaamini kuwa nina talanta ya kipekee na umaizi ambavyo hunisaidia daima kumchagua mtu sahihi. Kwa sababu ya hili, nilipomchagua mtu, singechunguza kwa dhati ili kuelewa hali zote za mtu niliyetaka kumchagua. Pia singewapima kwa makini watu ambao ninataka kuchagua kulingana na maadili yanayohusiana. Matokeo ya hili yalikuwa ni kwamba niliishia kuwachagua watu fulani wenye hila na udanganyifu waliozungumzia tu masomo na mafundisho ili ku ... Read more »

Views: 121 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 06.13.2019 | Comments (0)

Li Li Mji wa Dezhou, Mkoa wa Shandong

Sio muda mrefu uliopita, nilichaguliwa kama kiongozi wa ngazi ya katikati na ndugu zangu wa kiume na kike. Siku moja, nilipokuwa nimekusanyika na wafanyakazi wenzangu, sikuweza kujizuia kufikiria mwenyewe: ni lazima nifanye vyema. Ningetimiza wajibu wangu vibaya, viongozi wangu na wafanyakazi wenzangu wangenionaje? Matokeo yake yalikuwa, tulipozungumzia mada fulani pamoja, almuradi nilikuwa na ufahamu kidogo wa mada hiyo, basi ningejaribu kuwa wa kwanza kusema kitu, hata hivyo wakati sikuwa na ufahamu wa mada iliyojadiliwa na sikuweza kusema chochote, nilijipata nikiwa na wasiwasi. Katika siku hizo chache za mikutano, nilihisi nimechoka sana na kuwa na wasiwasi hasa, kana kwamba nilikuwa katika uwanja fulani wa kupam ... Read more »

Views: 84 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 06.12.2019 | Comments (0)

  Xinyi Mji wa Xi’an, Mkoa wa Shaanxi

Katika ziara zangu za karibuni kwa makanisa, mara nyingi niliwasikia viongozi na wafanyakazi wakisema kwamba watu wengine, baada ya kuhudhuria ushirika na mimi, waligeuka hasi, wanyonge na walikosa motisha ya kuendelea kutafuta. Wengine walisema ilikuwa vigumu sana kumwamini Mungu na walimwelewa Mungu visivyo. Wengine walisema kwamba hali zao zilikuwa nzuri kabla ya wao kukutana na mimi, lakini punde tu waliponiona, walihisi shinikizo kubwa mno na wasio na raha. ...Niliposikia haya yote, nilihuzunika, na nilihisi kukosewa vibaya—kila wakati nilipokuja kushiriki na wao ningeishi kwa baadhi ya siku, na, ili kutatua shida zao, nilipitia na kudondoa kama mifano vifungu vingi vya neno la Mungu, nikizungumza hadi nilipokauka mdomo, na ... Read more »

Views: 107 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 06.12.2019 | Comments (0)

Hengxin Jiji la Zhuzhou, Mkoa wa Hunan

Sio muda mrefu mno uliopita, nilisikia “Mahubiri na Ushirika juu ya Kuingia Katika Maisha,” jambo ambalo lilinielekeza kuelewa kwamba ni wale tu wanaotenda ukweli wanaoweza kupata ukweli na hatimaye kuwa wale ambao wanaomiliki ukweli na ubinadamu hivyo kupata kibali cha Mungu. Kuanzia hapo kwendelea, kwa makusudi nilifanya jitihada za kuunyima mwili wangu na kutenda ukweli katika maisha yangu ya kila siku. Wakati fulani baadaye, nilitambua kwa furaha kwamba ningeweza kutenda ukweli kiasi. Kwa mfano, siku za nyuma niliogopa kuonyesh ... Read more »

Views: 109 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 06.10.2019 | Comments (0)

42. Si Rahisi Kuwa Mtu Mwaminifu

Imeandikwa na Zixin, Mkoa wa Hubei

Baada ya kuikubali kazi ya Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho, kwa kusoma maneno ya Mungu na kusikiliza mahubiri, nilikuja kuelewa umuhimu wa kufuatilia kuwa mtu mwaminifu katika imani ya mtu, na kwamba ni kwa kuwa mtu mwaminifu tu ndipo mtu anaweza kupata wokovu wa Mungu. Hivyo nikaanza kushiriki kuwa mtu mwaminifu katika maisha halisi. Baada ya kipindi cha muda, nilitambua kuwa nilipata kuingia kiasi katika maisha. Kwa mfano: Wakati nikiomba au kuzungumza na mtu, ningeweza kusema ... Read more »

Views: 112 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 06.09.2019 | Comments (0)

 Fang Li Jiji la Anyang, Mkoa wa Henan

Hivi karibuni nilidhani nilikuwa nimeingia katika ubia wenye kuridhisha. Mshirika wangu na mimi tuliweza kujadili kitu chochote, wakati mwingine hata nikamwomba aonyeshe dosari zangu, na hatukupigana kamwe, hivyo nilidhani tulikuwa tumefanikisha ubia wenye kuridhisha. Lakini kama ukweli ulivyofichua, ubia wenye kuridhisha kwa kweli haukuwa kama kitu chochote nilichosadiki.

Siku moja katika mkutano, mshirika wangu alionyesha baadhi ya dosari za ... Read more »

Views: 139 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 06.08.2019 | Comments (0)

« 1 2 ... 20 21 22 23 24 ... 26 27 »