Kutambua Kuwa Nimekuwa Nikiitembea Njia ya Mafarisayo

Wuxin Mji wa Taiyuan, Mkoa wa Shanxi

Kitu ambacho tumezungumzia mara kwa mara katika ushirikiano wa awali ni njia ambazo zilitembewa na Petro na Paulo. Inasemekana kwamba Petro alizingatia kujijua mwenyewe na kumjua Mungu, na alikuwa mtu ambaye Mungu alimpenda, ilhali Paulo alizingatia tu kazi yake, sifa na hadhi yake, na alikuwa mtu ambaye Mungu alimdharau. Daima nimekuwa na hofu ya kuitembea njia ya Paulo, ambayo ndiyo ... Read more »

Views: 74 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.16.2019 | Comments (0)

Kiini cha Kutumia Mamlaka Vibaya Kwa Ajili ya Ulipizaji Kisasi wa Mtu Binafsi

Zhou Li Mji wa Xintai, Mkoa wa Shandong

Wakati fulani kitambo, tulihitaji kuzichora wilaya katika eneo letu, na kwa msingi wa kanuni zetu kwa ajili ya uteuzi wa viongozi, kulikuwa na ndugu mmoja wa kiume aliyekuwa mtaradhia mzuri kiasi. Nilitayarisha kumchagua kuwa kiongozi wa wilaya. Siku moja nilipokuwa nikizungumza na ndugu huyu, alitaja kwamba alihisi kuwa nilikuwa mwenye nguvu sana katika kazi yangu, mkali sana, na kwamba katika mkusanyiko pamoja nami hapakuwa na furaha nyingi …. Niliposikia jambo hili, nilihisi kuwa nilikuwa nimedunishwa. Nilihisi vibaya sana; mara moja nikakuza maoni fulani ya ndugu huyu, ... Read more »

Views: 117 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.15.2019 | Comments (0)

Ushuhuda wa Maisha | Huduma ya Aina Hii Kwa Hakika Ni ya Kudharauliwa

Ding Ning Mji wa Heze, Mkoa wa Shandong

Katika siku chache zilizopita, kanisa limepanga mabadiliko katika kazi yangu. Nilipopokea wajibu huu mpya, niliwaza, “Ninahitaji kuchukua fursa hii ya mwisho kuita mkutano na ndugu zangu wa kiume na wa kike, niongee nao wazi juu ya mambo, na niwaache na picha nzuri.” Kwa hiyo, nilikutana na mashemasi kadhaa, na kufikia mwisho wa wakati wetu pamoja, nikasema, “Nimeulizwa kuondoka hapa na kuenda kwa kazi tofauti. Natumaini mtamkubali kiongozi ambaye anakuja kuchukua nafasi yangu ... Read more »

Views: 92 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.14.2019 | Comments (0)

Ushuhuda wa Maisha | Si Rahisi Kwako kwa Hakika Kujijua Mwenyewe

Zhang Rui Mji wa Hangzhou, Mkoa wa Zhejiang

Niliona katika maneno ya Mungu kwamba Mungu anawapenda watu waaminifu na anawachukia watu wadanganyifu, na ni watu wanyofu tu watakaopata sifa Zake. Kwa hiyo, nilitaka kuwa mtu mnyofu, kwa utambuzi kufanya mazoezi ya kuzungumza kwa usahihi, kuwa bila upendeleo na wa busara, na kutafuta ukweli kut ... Read more »

Views: 76 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.13.2019 | Comments (0)

Ushuhuda wa Maisha | Ni Nini Husababisha Uongo

Xiaojing Jijini Heze, Mkoani Shandong

Kila mara nilipoona neno la Mungu likituomba kuwa watu waaminifu na kuzungumza kwa usahihi, niliwaza, “Sina tatizo na kuzungumza kwa usahihi. Si ni kusema tu kitu jinsi kilivyo na kusema mambo jinsi yalivyo? Je, hiyo si rahisi? Kilichokuwa kimenikera zaidi daima katika dunia hii walikuwa watu waliotia chumvi walipozungumza.” Kwa sababu ya hili, nilihisi imani kuu, nikifikiri kwamba sikuwa na shida katika hal ... Read more »

Views: 80 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.12.2019 | Comments (0)

 Siri Niliyoishikilia kwa Kina Ndani ya Moyo Wangu

Wuzhi Mji wa Linyi, Mkoa wa Shandong

Katika majira ya kuchipua ya mwaka wa 2006, nilinyang’anywa cheo changu kama kiongozi na nikarudishwa nilikotoka kwa sababu nilifikiriwa kuwa “bwana ndiyo” sana. Niliporejea mara ya kwanza, nilitumbukia ndani ya kikalibu cha mateso na maumivu makubwa. Sikuwahi kufikiri kwamba baada ya miaka mingi ya uongozi mambo yangeharibika kwa sababu ya kuwa “bwana ndiyo.” Huu ulikuwa ndio mwisho kwangu, nilidhani, kila mtu aliyenijua angejua juu ya kushindwa kwangu na ningefanywa kama mfano mbaya katika kanisa. Ni ... Read more »

Views: 149 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.12.2019 | Comments (0)

Ushuhuda wa Maisha | Umuhimu wa Uratibu katika Huduma

Mei Jie Jijini Jinan, Mkoani Shandong

Hivi karibuni kanisa lilitoa mpangilio wa kazi likihitaji viongozi wa kanisa katika ngazi zote kuanzisha mbia (mfanyikazi mwenza kufanya kazi pamoja nao). Baada ya kubadilisha uongozi wa kanisa kurudi kwa ule wa asili, ubia uliwekwa kwa kila ngazi ya kiongozi katika nyumba ya Mungu. Wakati huo, nilifikiri kwamba huu ulikuwa mpangilio mzuri. Nilikuwa wa ubora wa tabia wa chini na nilikuwa na kazi nyingi; kwa kweli nilihitaji mbia ... Read more »

Views: 131 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.10.2019 | Comments (0)

Ushuhuda wa Injili | Mapambano ya Kufa na Kupona

Chang Moyang Mjini Zhengzhou, Mkoani Henan

Maneno ya Mwenyezi Mungu yanasema: “Ukiasi dhidi ya mwili wako, bila shaka kutakuwa na vita ndani yako. Shetani atajaribu kukufanya ufuate mwili wako, atakufanya ufuate dhana za kimwili na kutekeleza maslahi ya kimwili—ila maneno ya Mungu yatakupa nuru na kukuangazia kwa ndani, na wakati huu itakuwa juu yako ikiwa utamfuata Mungu au utamfuata Shetani. Mungu anawataka watu kuweka ... Read more »

Views: 136 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.09.2019 | Comments (0)

Ushuhuda wa Maisha | Kuzing’uta Pingu za Roho

Wu Wen Mji wa Zhengzhou, Mkoa wa Henan

Nilikuwa mtu dhaifu na mwenye tabia nyepesi kuhisi. Wakati sikumwamini Mungu, mara kwa mara ningejihisi mwenye huzuni na masikitiko kutokana na mambo yaliyokuja katika maisha. Kulikuwa na nyakati nyingi kama hizi, na siku zote nilihisi kwamba maisha yangu yalikuwa magumu; hapakuwa na furaha, hamkuwa na ridhisho moyoni mwangu ya kuzungumzia. Uchungu huu ulikuwa tu kama pingu zilizonifunga kabisa kila mara, zikinifanya niwe mwenye huzuni. Ilikuwa tu baada kumwamini ... Read more »

Views: 103 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.08.2019 | Comments (0)

Zhenxi Jijini Zhenzhou, Mkoani Hena

Miaka kumi iliyopita, nikiendeshwa na asili yangu ya kiburi, sikuweza kamwe kutii kikamilifu mipangilio ya kanisa. Ningetii ikiwa ilinifaa, lakini iwapo haingenifaa ningechagua iwapo ningetii au la. Hili lilisababisha kukiuka sana mipangilio ya kazi wakati wa kutimiza wajibu wangu. Nilifanya jambo langu mwenyewe na kuichukiza tabia ya Mungu, na hivyo baada ya hapo nilitumwa nyumbani. Baada ya miaka kadhaa ya kujitafakari, nilikuwa kwa kiwango fulani na maarifa ya asili yangu mwenyewe, lakini kuhusu kipengele cha ukweli ambacho ni kiini cha Mungu bado sikuwa na maarifa mengi. Baadaye, kanisa lilinipangia kusimamia kazi ya injili, nilianza kuwa na shaka kumhusu Mungu: Mimi ni mpotovu sana na pia nili ... Read more »

Views: 89 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.08.2019 | Comments (0)

« 1 2 ... 23 24 25 26 27 »