Ushuhuda wa Injili | 5. Maneno ya Mungu Yaliniongoza Kutoka Katika Matatizo

Xiao Rui Mji wa Panzhihua, Mkoa wa Sichuan

Nilipokuwa nikihubiri injili nilikutana na viongozi wa dini ambao walisema uongo ili kupinga na kuvuruga, na kuwaita polisi. Hili lilisababisha wale niliokuwa nikihubiria kutothubutu kuwasiliana nasi, na wale ambao walikuwa tu wameikubali injili kutoweza kuwa na imani katika kazi ya Mungu. Nilipofanya kazi kwa bidii sana lakini matokeo yalikuwa duni, nilifikiri: k ... Read more »

Views: 177 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.06.2019 | Comments (0)

4. Ninaona njia ya kumjua Mungu

Xiaocao Mji wa Changzhi, Mkoa wa Shanxi

Siku moja, niliona kifungu hiki kifuatacho cha neno la Mungu kwa maandishi “Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu”: “Kwenye kipindi kile alichomfuata Yesu, Petro alitazama na kutia moyoni kila kitu kuhusu maisha Yake: Matendo Yake, maneno Yake, mwendo Wake na maonyesho Yake. … Tangu wakati huo akiwa na Yesu, Petro alitambua pia kwamba hulka Yake ilikuwa tofauti na ile ya binadamu wa kawaida. Siku zote alikuwa na mwenendo dhabiti na hakuwahi kuwa na haraka, hakupigia chuku wala kupuuza chochote, na al ... Read more »

Views: 127 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.05.2019 | Comments (0)

3. Ni Nani Anayejua Moyo wa Kutunza wa Mungu

Qingxin Mji wa Zhengzhou, Mkoa wa Henan

Zamani, sikuelewa kazi ya Mungu ya kuwaokoa binadamu. Nilidhani kuwa almradi mtu fulani hufichua upotovu katika kazi yake au hufanya makosa ambayo huiharibu kazi ya kanisa, mtu huyo atakabiliwa na rada, au kupoteza kazi yake au aathiriwe na adhabu. Hiyo ni haki ya Mungu. Kutokana na ufahamu huu usio sahihi, pamoja na hofu ya kupoteza kazi yangu kutokana na kufanya makosa katika kazi yangu, nilifikiria juu ya utaratibu “mjanja”: Wakati ... Read more »

Views: 94 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.05.2019 | Comments (0)

2. Mimi Sistahili Kumwona Kristo

Huanbao Mji wa Dalian, Mkoa wa Liaoning

Tangu kwanza nianze kumwamini Mwenyezi Mungu, daima nimewapenda wale ndugu wa kiume na wa kike ambao wanaweza kupokea huduma ya kibinafsi ya Kristo, ambao wanaweza kusikia mahubiri Yake kwa masikio yao wenyewe. Katika moyo wangu, nimewaza jinsi ingekuwa vizuri sana kama siku moja katika siku zijazo ninaweza kusikia mahubiri ya Kristo, bila shaka kumwona Yeye kungekuwa kwa ajabu hata zaidi. Lakini hivi karibuni, kwa njia ya kusikiliza ushirika Wake, nimekuja kuhisi kwa undani moyoni mwangu kwamba mimi sifai kumwona Kristo.

Ilikuwa wakati ambapo ... Read more »

Views: 84 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.03.2019 | Comments (0)

1. Kila Neno la Mungu ni Maonyesho ya Tabia Yake

Hu Ke Mji wa Dezhou, Mkoa wa Shandong

Wakati wowote nilipoona maneno haya yaliyosemwa na Mungu,nilihisi kuwa na wasiwasi:“ Kila sentensi Niliyoizungumza ina tabia ya Mungu ndani yake。Mngefanya vizuri endapo mngetafakari kuhusu maneno Yangu kwa umakini,na kwa kweli mtafaidi pakubwa kutoka kwa maneno hayo “(”N ... Read more »

Views: 117 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.03.2019 | Comments (0)

Wokovu wa Mungu: Kutembea Katika Njia Ng’avu ya Maisha

Xie Li, Marekani

Zamani nilikuwa mtu ambaye angefuata mitindo ya dunia, nilitaka kujiachilia kwa maisha ya anasa, na nilijali tu kuhusu anasa za mwili. Mara nyingi ningeenda na rafiki zangu kwa KTV usiku mzima, ningeenda matembezi kwa motokaa katikati ya usiku, ningeenda kuvua samaki katika bahari, na kusafiri pande zote nikitafuta vyakula vizuri. Ningeona wengine walionizunguka, na wao wote pia walikuwa wanajizatiti kula vizuri, kuvaa vitu vizuri, na kufurahia vitu vizuri. Nilihisi kwamba hivi vilikuwa vitu ambavyo mwanadamu lazima afanye kazi kuvitimiza katika maisha yake, kwamba hii ndiyo maana lazima ufanye kazi kwa bidii kupata pesa, kwamba hili ndilo lengo katika maisha ambalo kila mtu anapaswa kuwa nalo. Ni kwa kuwa na vitu hivi pe ... Read more »

Views: 119 | Added by: hatat1946 | Date: 03.30.2019 | Comments (0)

Ufahamu Kiasi Kuhusu Kuokolewa | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Lin Qing Jijini Qingzhou, Mkoa wa Shandong

Kwa miaka hii mingi ya kumfuata Mungu, nimeacha familia yangu na raha za mwili, na nimekuwa na shughuli nyingi siku nzima nikitimiza wajibu wangu kanisani. Kwa hiyo niliamini: Mradi tu nisiache kazi yangu katika kanisa, nisimsaliti Mungu, nisiache kanisa, na kumfuata Mungu hadi mwisho, nitahurumiwa na kuokolewa na Mungu. Niliamini pia kuwa nilikuwa nikitembea katika njia ya wokovu na Mungu, na yote niliyokuwa niyafanye ni kumfuata Yeye mpaka mwisho.

Lakini siku chache zilizopita, niliona maandishi fulani kutoka kwa “Ni Wale Tu Ambao Wanapata  ... Read more »

Views: 101 | Added by: hatat1946 | Date: 03.27.2019 | Comments (0)

Filamu za injili | Nimewahi Treni ya Mwisho | Entering the Ark of the Last Days

Filamu za Injili | "Nimewahi Treni ya Mwisho" | Entering the Ark of the Last Days

Chen Peng alikuwa mchungaji katika kanisa la nyumba fulani. Alikuwa akimtumikia Bwana kwa bidii, na mara nyingi alifanya kazi kama mhubiri, akiwasaidia wafuasi wake, na kulibebea kanisa mizigo mizito. Lakini katika miaka ya hivi karibuni, kanisa lilizidi kuwa tupu zaidi na zaidi. Waumini walikuwa na roho dhaifu na wavivu, wakikosa mkutano baada ya mkutano. Na hivyo Mchungaji Chen aliona giza likiangukia nafsi yake, kana kwamba kisima cha roho yake kilikuwa kikavu, na hakuweza kuhisi uwepo wa Bwana. Katika mikutano, aligundua kwamba hakuwa na kitu alichoweza kuhubiri. ... Alifanya kila kitu ... Read more »

Views: 109 | Added by: hatat1946 | Date: 03.27.2019 | Comments (0)

Ushuhuda wa Injili: Mawazo Kuhusu Kubadilishwa

Yi Ran Mji wa Laiwu , Mkoa wa Shandong

Wakati fulani awali, kwa sababu yangu kutoelewa kanuni iliyotumiwa na kanisa ya masahihisho ya wafanyakazi wa kanisa, wakati kanisa lilibadilisha kiongozi, dhana iliibuka ndani yangu. Kutoka kwa kile nilichoweza kuona, dada aliyebadilishwa alikuwa mzuri sana kwa kupokea na kushirikiana ukweli, na aliweza kuwa wazi juu ya maonyesho yake ya upotovu. Kwa hiyo sikuweza kujua asilani jinsi mtu fulani aliyetafuta ukweli sana angeweza kubadilishwa. Inawezekana kwamba yeye alizungumza juu ya maonyesho yake mwenyewe ya upotovu sana, na hivyo kiongozi wake kwa makosa alimchukua kuwa mtu asiyefuatilia ukweli, na kumbadilisha? Kama hili ... Read more »

Views: 92 | Added by: hatat1946 | Date: 03.26.2019 | Comments (0)

Dong Jingxin ni mhubiri katika kanisa la nyumba nchini Uchina。Amemsadiki Bwana kwa miaka thelathini,na anapenda ukweli,mara kwa mara yeye husoma maneno ya Bwana na yanamsisimua。Anajitumia kwa ajili ya Bwana kwa shauku kubwa。Kwa sababu ya kazi yake ya kuhubiri,alikamatwa na polisi wa serikali ya Kikomunisti ya Kichina na akafungwa gerezani ambako alivumilia ukatili na mateso。Maneno ya Bwana ndiyo yaliyomwongoza kwa kustahamili miaka saba ya maisha ya gerezani yasiyokuwa ya kibinadamu。Baada ya k ... Read more »

Views: 122 | Added by: hatat1946 | Date: 03.24.2019 | Comments (0)

« 1 2 ... 24 25 26 27 »