7:37 PM
Wimbo Mpya wa Dini 2019 | "Upendo Safi Bila Dosari" (Lyrics Video)

Wimbo Mpya wa Dini 2019 | "Upendo Safi Bila Dosari" (Lyrics Video)

I

Upendo ni hisia safi, safi bila dosari.

Tumia moyo, tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza.

Upendo hauna masharti, vizuizi au kujitenga.

Tumia moyo, Tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza.

Ukipenda hudanganyi, hulalamiki, hugeuki,

hutazamii kupata kitu, cha malipo.

Ukipenda utajitolea, ukubali taabu, kuwa kimoja, Mungu katika mapatano.

II

Upendo hauna shauku, ujanja wala uongo.

Tumia moyo, Tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza.

Upendo haujitengi, upendo hauna dosari.

Tumia moyo, Tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza.

Ukipenda hudanganyi, hulalamiki, hugeuki,

hutazamii kupata kitu cha malipo.

Ukipenda utajitolea, ukubali taabu, kuwa kimoja, Mungu katika mapatano.

III

Utatoa familia, ujana wako na siku za usoni.

Utoe ndoa yako kwa Mungu, toa vyote kwake.

Utatoa familia, ujana na siku za usoni.

Utoe ndoa yako kwa Mungu, toa vyote kwake.

Ama upendo wako si upendo kabisa, bali uongo, usaliti kwa Mungu.

IV

Upendo ni hisia safi, safi bila dosari.

Tumia moyo, Tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza.

Upendo hauna masharti, vizuizi au kujitenga.

Tumia moyo, Tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza.

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Views: 71 | Added by: flickrpinquorettfb | Tags: nyimbo za dini, Video za Nyimbo na Ngoma | Rating: 0.0/0
Total comments: 0
avatar