7:52 PM
Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee IV Utakatifu wa Mungu (I)” Sehemu ya Tatu

Mwenyezi Mungu anasema, “Haijalishi masharti aliyoweka Mungu, katika kazi Yake yote yana athari halisi kwa mwanadamu, na yanaongoza njia. Kwa hivyo kuna fikira zozote za kibinafsi katika akili ya Mungu? Je, Mungu anayo malengo zaidi kuhusiana na mwanadamu, ama Anataka kumtumia mwanadamu kwa jinsi fulani? (La.) Sivyo hata kidogo. Mungu anafanya Asemavyo, na pia Anafikiria namna hii moyoni Mwake. Hakuna mchanganyiko wa madhumuni, hakuna fikira za kibinafsi. Hajifanyii chochote, lakini Anamfanyia mwanadamu kila kitu kabisa, bila malengo yoyote ya kibinafsi. Ingawa Ana mipango na nia kwa mwanadamu, Hajifanyii chochote. Kila kitu Anachofanya kinafanyiwa mwanadamu tu, kumlinda mwanadamu, kumhifadhi mwanadamu dhidi ya kupotezwa.”

Tazama Zaidi: Maneno ya Mungu “Ngurumo Saba Zatoa Sauti—Zikitabiri Kuwa Injili ya Ufalme Itaenea Kote Ulimwenguni”

Nyimbo za Injili za Kanisa la Mwenyezi Mungu: nyimbo za kusifu, kumjua Mungu na uzoefu wa maisha, na mengine. Sikiliza mtandaoni! Pakua bure!

Views: 90 | Added by: flickrpinquorettfb | Tags: Mamlaka ya Mungu, Utakatifu wa Mungu, wokovu wa Mungu | Rating: 0.0/0
Total comments: 0
avatar