9:10 PM
"Kwaya ya Kichina Onyesho la 13" Clip 7 Mshuko wa Ufalme wa Mungu | Kwaya za Injili

"Kwaya ya Kichina Onyesho la 13" Clip 7 Mshuko wa Ufalme wa Mungu | Kwaya za Injili

Kitabu cha Ufunuo anasema, “Na mimi Yohana nikauona mji mtakatifu, Yerusalemu mpya, ukija chini kutoka kwa Mungu mbinguni. ... Tazama, hema takatifu la Mungu liko pamoja nao watu, na yeye atakaa pamoja nao, nao watakuwa watu wake. Na yeye Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao, na kuwa Mungu wao” (Ufunuo 21:2-3). Mwenyezi Mungu anasema, “Ufalme Wangu huonekana hadharani duniani. Falme za duniani zimekuwa ufalme—wa Mungu—Wangu. ... Hufurahia kuona watu Wangu, ambao husikia sauti Yangu, na kukusanyika kutoka kila taifa na nchi. Watu wote, uhifadhi Mungu wa kweli daima katika midomo yao, kusifu na kuruka kwa furaha bila kukoma!” (Neno Laonekana katika Mwili). Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho, apata ufalme Wake na kushuka, watu Wake waliochaguliwa wacheza na kuimba huku wakisherehekea ushindi wa Mungu dhidi ya Shetani, na ufalme wa Mungu wajidhihirisha duniani.

Iliyotazamwa Mara Nyingi:  Wimbo wa Injili 2018 | “Matendo Ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu” | Sifu Matendo ya Ajabu ya Mungu

Views: 56 | Added by: flickrpinquorettfb | Tags: kwaya mpya, Kwaya za Injili | Rating: 0.0/0
Total comments: 0
avatar