Maneno Husika ya Mungu:

Je, mabadiliko katika tabia ni nini? Lazima uwe mpenzi wa ukweli, lazima uikubali hukumu na kuadibu kwa neno la Mungu unapopitia kazi Yake, na kupitia aina zote za mateso na usafisho, ambayo kwayo unatakaswa kutokana na sumu za kishetani zilizo ndani yako. Haya ndiyo mabadiliko katika tabia. … Mabadiliko katika tabia yanamaanisha kuwa mtu, kwa sababu anapenda na anaweza kuukubali ukweli, hatimaye huja kujua asili yake ya uasi inayompinga Mungu; anaelewa kuwa upotovu wa binadamu ni wenye kina zaidi na kutambua upumbavu na udanganyifu wa mwanadamu. Anatambua uduni wa ... Read more »

Views: 120 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 01.29.2020 | Comments (0)