Aya za Biblia za Kurejelea:

Mwanzoni kulikuwa na Neno, na Neno alikuwa na Mungu, na Neno alikuwa Mungu” (Yohana1:1).

“Na Neno alifanywa kuwa mwili, na akakaa kati yetu, aliyejawa neema na ukweli” (Yohana 1:14).

Mimi ndiye njia, ukweli na uhai” (Yohana 14:6).

Watakase kupitia kwa ukweli wako: neno lako ni ukweli” (Yohana 17:17).

“Akajibu na kuwaambia, Isaya ametabiri vizuri kuhusu ninyi wazandiki, jinsi ilivyoandikwa, Watu hawa wananiheshimu kwa midomo yao, bali mioyo yao iko ... Read more »

Views: 41 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 01.17.2020 | Comments (0)