Ushuhuda wa Injili :Kwa Nini Nimetembea Njia ya Mafarisayo? | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Suxing Mkoa wa Shanxi

Mimi ni mtu mwenye kiburi na majivuno, na cheo kimekuwa udhaifu wangu. Kwa miaka mingi, nimefungwa na sifa na cheo na sijaweza kujiweka huru kutoka kwazo. Mara kwa mara nimepandishwa cheo na kubadilishwa na mtu mwingine; nimekuwa na vizuizi vingi katika cheo changu na nimekumbwa na matuta mengi njiani. Baada ya miaka mingi ya kushughulikiwa na kusafishwa, nilihi ... Read more »

Views: 63 | Added by: hatat1946 | Date: 03.29.2019 | Comments (0)