Ndugu wawili wa kawaida, Beijing

Agosti 15, 2012

Julai 21, mwaka wa 2012 ilikuwa siku isiyosahaulika sana kwangu, pamoja na kuwa siku muhimu zaidi ya maisha yangu.

Siku hiyo, mvua kubwa ilikuwa ikinyesha katika Wilaya ya Fangshan jijini Beijing—ilikuwa kubwa kuliko yoyote iliyowahi kuonekana pale katika miaka sitini na mmoja. Muda mfupi baada ya saa 10 jioni, nilitoka nje mtaani ili kuangalia na nikaona kuwa maji yalikuwa kila mahali. Gari la familia yetu lilikuwa tayari limeelea, na sababu ya pekee gari hilo kutosombwa na mkondo wa maji ilikuwa kwamba lilizuiwa na kitu mbele yake kilicholizuia kusonga. Maono hayo yalinifanya kuwa na wasiwasi sana, hivyo kwa haraka nilimpigia mume wangu simu, ambaye pia ni muumini, lakini sikuweza kumpata kwa si ... Read more »

Views: 157 | Added by: hatat1946 | Date: 03.22.2019 | Comments (0)