Gan’en Mji wa Hefei, Mkoa wa Anhui

Katika maisha yangu,siku zote nimeongozwa na msemo,“Mtu hapaswi kuwa na moyo wa kuwadhuru wengine,lakini lazima awe macho ili asidhuriwe”katika uingiliano wa kijamii。Kamwe huwa siwaridhii wengine imani yangu kwa urahisi。Daima nimehisi kuwa katika hali ambapo hujui nia za kweli ya mtu,hupaswi kuonyesha nia yako punde sana。Kwa hiyo,inatosha kuweka mtazamo wa amani-kwa njia hii unajilinda na utafikiriwa na wenzako wa rika kama“mtu mzuri。”

... Read more »

Views: 76 | Added by: hatat1946 | Date: 03.18.2019 | Comments (0)