Hu Ke Mji wa Dezhou, Mkoa wa Shandong

Wakati wowote nilipoona maneno haya yaliyosemwa na Mungu, nilihisi kuwa na wasiwasi: “Kila sentensi Niliyoizungumza ina tabia ya Mungu ndani yake. Mngefanya vizuri endapo mngetafakari kuhusu maneno Yangu kwa umakini, na kwa kweli mtafaidi pakubwa kutoka kwa maneno hayo” (“Ni Muhimu Sana Kuelewa Tabia ya Mungu” katika Neno Laonekana katika Mwili). Nilihisi kuwa na wasiwasi kwa sababu kuelewa tabia ya Mungu ni muhimu sana yote kwa ufahamu wa mwanadamu wa Mungu na kutafuta kumpenda na kumridhisha Yeye. Lakini wakati wa kula na kunywa maneno ya Mungu, siku zote nilihisi kama tabia ya Mungu ilikuwa dh ... Read more »

Views: 81 | Added by: hatat1946 | Date: 03.21.2019 | Comments (0)