Ushuhuda wa Injili: Huku Ni Kuweka Ukweli Katika Vitendo | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Fan Xing Mji wa Zhumadian, Mkoa wa Henan

Katika siku za nyuma, nilikuwa nimeunganishwa na dada mmoja kufanya kazi kwa wajibu fulani. Kwa sababu nilikuwa na majisifu na mwenye kiburi na sikutafuta ukweli, nilikuwa na mawazo kiasi ya kabla kuhusu dada huyu ambayo niliweka moyoni mwangu daima na sikuzungumza waziwazi naye. Tulipotengana, sikuwa nimeingia katika ukweli wa uhusiano wa kufanya kazi wenye kuridhisha. Baadaye, kanisa lilinipangia kufanya kazi na dada mwingine nami nikaweka azimio mbele ya Mungu: Kuanzia sasa kuendelea, sitat ... Read more »

Views: 78 | Added by: hatat1946 | Date: 03.28.2019 | Comments (0)