Yang Rui Mji wa Yuci , Mkoa wa Shanxi

Siku moja, nilisikia kwa ghafla kuwa baba yangu alifukuzwa kutoka kwa kanisa. Nilishangaa kabisa wakati huo na sikuweza kuelewa. Katika moyo wangu, baba yangu alikuwa ndiye mtu mkuu mno duniani. Ingawa ana hasira mbaya, alitutunza sana sisi ndugu wa kike na kamwe hakutupiga au kutukemea. Licha ya harakati za familia yetu, hangeturuhusu tuone hasira bila kujali ni shida kiasi gani angepaswa kustahimili. Baada familia yetu yote kuikubali kazi ya Mungu, baba yangu alikuwa aidha amilifu katika kutekeleza wajibu wake, na mara ... Read more »

Views: 69 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 06.24.2019 | Comments (0)

66. Ambua Barakoa, na Uanze Maisha Upya

Chen Dan Mkoa wa Hunan

Mwishoni mwa mwaka jana, kwa sababu sikuweza kuzindua kazi ya injili katika eneo langu, familia ya Mungu ilimhamisha ndugu mmoja wa kiume kutoka eneo jingine ili kuchukua kazi yangu. Kabla ya haya sikuwa nimearifiwa, bali nilisikia kwa njia isiyo ya moja kwa moja kutoka kwa dada mmoja niliyekuwa mbia naye. Nilifadhaika sana. Nilishuku kwamba mtu aliyekuwa madarakani hakuwa ameniarifu kwa kuhofia kwamba singekubali kuiacha nafasi yangu na ningeshindana. Kwa sababu hiyo, nilikuwa na dhana mbaya ya dada aliyekuwa madarakani. Baadaye, dada huyo alikutana nami na kuniuliza juu ya jinsi nilivyohisi ... Read more »

Views: 63 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 06.24.2019 | Comments (0)