Ni kwa Kuingia Katika Ukweli Mimi Mwenyewe tu Ndio Ninaweza Kuwasaidia Wengine

Du Fan Mkoa wa Jiangsu

Hivi karibuni, kanisa moja lilikuwa linakipiga kura ili kumchagua kiongozi mpya, lakini kiongozi aliyeongoza alienda kinyume na kanuni za kanisa, akitumia njia yake mwenyewe kutekeleza upigaji kura. Wakati ndugu fulani wa kiume na wa kike walipotoa maoni yao, sio tu kwamba hakuyakubali, lakini alisisitiza kushikilia njia yake mwenyewe. Baadaye kanisa lilitupwa katika mchafuko kwa ajili ya vit ... Read more »

Views: 46 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 06.23.2019 | Comments (0)

64. Nilifurahia Karamu Kubwa

Xinwei Mkoa wa Zhejiang

Juni 25 na 26, mwaka wa 2013 zilikuwa siku zisizosahaulika. Eneo letu lilipata tukio kubwa, viongozi wengi na wafanyakazi wa eneo wakiwa wamekamatwa na joka kubwa jekundu. Ni wachache wetu tu tuliokimbia bila kuumia na, mioyo yetu ikiwa imejaa shukrani, tulikula kiapo cha siri kwa Mungu: kushirikiana vizuri na kazi iliyokuwa ifuate. Kufuatia hilo tulianza kazi yenye msisimko na shughuli nyingi ya kushughulika na matokeo. Na baada ya karibu mwezi mmoja, mipango ilikuwa inakaribia kukamilika. Mwezi huo ulikuwa wa joto, na wakati tulikuwa tumeteseka kimwili mioyo yetu ilikuwa imeridhika yenye furaha, kazi yetu ikiwa imeendelea vizuri mbele ya joka kubwa jekundu. Wakati k ... Read more »

Views: 52 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 06.23.2019 | Comments (0)