Ushuhuda wa Maisha | Asili ya Upendo wa Mungu Ni Nini?

Siqiu   Mji wa Suihua, Mkoa wa Heilongjiang

Wakati wowote ninapoona kifungu kinachofuata cha neno la Mungu, “Ikiwa daima umekuwa mwaminifu Kwangu na kunipenda, lakini unapitia mateso ya maradhi, misukosuko ya maisha, na kutelekezwa na marafiki na jamaa au kupitia maafa mengine yoyote maishani, basi, uaminifu na mapenzi yako Kwangu yataendelea kuwepo?” (“Tatizo Zito Sana: Usaliti (2)” katika Neno Laonek ... Read more »

Views: 65 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.26.2019 | Comments (0)