Ushuhuda wa Maisha | Mbona Ujihusishe na Hila Unapomtumikia Mungu

Hu Qing Jijini Suzhou, Mkoani Anhui

Nilipoona maneno ya Mungu yakisema: “Wale ambao huhudumu kama viongozi daima hutaka kuwa na ubunifu mkubwa, kuwa wazuri kuliko wengine, kupata hila mpya ili Mungu aweze kuona jinsi kweli walivyo na uwezo. … Wao daima hutaka kuringa; si huu ni ufunuo kwa usahihi wa asili ya kiburi?” (“Bila Ukweli Ni Rahisi Kumkosea Mungu” katika Kumbukumbu za Maongezi ya Kristo), Nilifikiri mwenyewe: Nani ana ujasiri kama huo kujaribu kupata ujanja mpya ya ubunifu? Nani hajui kuwa tabia ya Mungu h ... Read more »

Views: 71 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.20.2019 | Comments (0)